"UHUSIANO BILA KUKUTANA KIMWILI NI KUDANGANYANA"...MSANII TOPE

clip_image001Muigizaji Tope Osoba amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania na Nigeria ambao wamekuwa wakiolewa na wanaume zao na kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.

“Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.” Alifunguka actress huyo.

Alipoulizwa kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi kudumisha uhusiano bila ngono.”

Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazia kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post