UEFA CHAMPIONS LEAGUE: NANI BINGWA?

001Karibu tushuhudia Kabumbu la kukata na shoka leo ndani ya Paris Club kwenye Big Screen Hakuna Kiingilio ni Kinywaji chako tu. Tuangalie miamba Miwili ya Ujerumani inavyotambiana Baada ya Kuziondoa Timu za Hispania kwa Vichapo Heavy ambavyo washabiki wengi wa soka hawakutarajia kuvipata kwa timu kama Barca kwa kuchapa magoli jumla 7 na Buyern Munich huku Dortmund wakiiondosha Real Madrid kwa jumla ya magoli 4 – 3.

Najua wengi wa mashabiki wa soccer wanaipa nafasi ya ushindi timu ya Buyern Munich kwa kuwa tayari ilisha mfunga Dortmund katika mechi ya ligi nchini Ujerumani pia kuifunga Barca kwa magoli mengi zaidi pia ikiwa ni timu bora katika ulimwengu wa soccer ila walimwengu wanasema mpira unadunda Hivyo Njoo tushuhudie wote.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post