BEAKING NEWZZZZZZ: MTU MMOJA AMEJITUPA TOKA GOROFA YA 9 KARIAKO MUDA HUU

Muda si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo akaangukia kwenye hiyo taxi dah chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini. Mfanya biashara huyo ametambulika kwa jina la Shirima, hivi sasa kakimbizwa hosp.

Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea muda mfupi uliopita,wanaeleza kuwa walipatwa na mshuko baada ya kusikika kishindo cha kitu kilichokuwa kimeangukia gari hilo na waliposogea kushuhudia ndipo walipobaini kuwa alikuwa ni mtu huyo alietambulika kwa jina moja la Shirima.

 Tunafwatilia kwa undani na habari kamili endelea kutembelea mtandao huu.
Previous Post Next Post