ASHLEY TOTO NI MREMBO ANAYETAKA KUKUPA MOYO WAKE......

clip_image001Ashley Toto ni mwanadada msanii na   mrembo ambaye anaishi Germany kwa sasa . Ashley  yupo Germany  kwa  ajili  ya  kuutangaza  utamaduni  wa mwafrika  halisi  kupitia  fani  ya  maigizo....

Mrembo  huyo  ameshatoa filamu ndogo  kwa  ajili  yako  mdau iliyopo hewani kwa sasa   ili  ujionee uwezo alionao  katika  fani  hiyo......Jina  la filamu  hiyo  ni "MOYO WANGU"  na  tumeipachika  hapo  chini  ili  uione  Bure .....clip_image003LENGO la Filamu za Kiswahili zinazotengenezwa nchini Denmark chini  ya  kampuni  ya VAD FILM PRODUCTION   ni kuunganisha nguvu za kutangaza filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika....
HUU  NDO  MOYO  WA  ASHLEY...”MOYO WANGU”

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post