Muungano wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania umetoa vifaa vya kazi (vitendea kazi) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 35 kwa kila klabu ya wanahabari Mikoani kwa lengo la kuboresha utendaji kazi, weledi na kujenga uchumi wa vilabu hivyo.Akikabidhi vifaa hivyo kwa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi jana makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Dar City Press Club, vifaa ambavyo ni pamoja na kamera, KOMPYUTA,Runinga na zana za kisasa za mikutano na semina (projector) Ikiwemo machine ya kopi (Photocopy) Makamu wa Rais wa UTPC Bi Jane Mihanji akimkabidhi vifaa hivyo Mwenyekiti wa Lindi Press club,Abdulaziz Ahmeid amehimiza utunzaji wa zana hizo pamoja na nidhamu ya matumizi ili kukomboa waandishi Mikoani ikiwemo kujiongezea kipato..
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.