TASINIA YA filam Tanzania tunaweza kusema imeaanza mwaka vibaya baada ya kumpoteza mwigizaji Juma Kilowoko (SAJUKI) katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo alfajiri.
Sajuki pichani aliuugua kwa mda Mrefu na baadae kupelekwa India kwa Matibabu kabla ya tatizo la figo kushindwa kufanya kazi kukatisha uhai wake.
Mwenyezimungu aiweke toho yake Peponi.
Tags
HABARI ZA WASANII