Shakira amekuwa kwa mara ya kwanza baada ya kujifungua salama mtoto wa kiume aliyempa jina la Milan.
Muimbaji huyo tayari ametangaza habari kwenye tovuti yake, akisema mwanae ameshaanza kufuata nyayo za baba yake, mwanasoka Gerard Pique, akisema: "Kama baba, mtoto Milan amekuwa member wa FC Barcelona baada tu ya kuzaliwa."

Aliongeza: "Tuna furaha kutangaza kuzaliwa kwa Milan Pique Mebarak, mtoto wa Shakira Mebarak na Gerard Pique, aliyezaliwa January 22nd at 9:36pm, jijni Barcelona, Spain.