Unknown Unknown Author
Title: Majambazi waua watu wawili na kujeruhi kadhaa Mjini Dar es Salaam LEO HII.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambaji mapema leo katika eneo la Kariakoo, jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupel...
Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambaji mapema leo katika eneo la Kariakoo, jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa hospitali kwa Matibabu. kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo. Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.Wananchi wa jiji la Dar wakiwa wameduwaa bila kuamini kile walichokiona kikitokea mapema leo eneo la Kariakoo, baada ya Majambazi kuvamia gari moja lililosadikiwa kuwa na hela walizotaka kuziiba na kupelekea kuuwa watu wawili papo hapo.

About Author

Advertisement

 
Top