Afisa Elimu Wilaya ya Mtwara Mwl.Mohamed Kahumbi,akionesha aina ya simuiliyowekewa fedha katika akaunti ya M-pesa zinazotolewa bila malipo kwa kwa akina mama wanaonyonyesha kuwawezesha kupokea fedha za kunulnuia chakula chenye lishe kupitia mradi wa Lishe bora na salama wa shirika la mpango wa chakula duniani – WFP. Mradi huo umezinduliwa juzi katika kijiji cha Nanguruwe, Mkoani Mtwara.
Mmoja wa wanufaika wa mradi wa kuwawezesha wanawake wanaonyonyeshana wajawazito mkoani Mtwara kupata chakula chenye lishe akiijaribu simu aliyopatiwa ikiwa na fedha katika akaunti ya M-pesa atakazozitumia kununulia chakula chenye lishe. Fedha na simu hizo hutolewa bila malipo na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani – WFP kupitia mradi wake wa Lishe bora na salama
Akina mama wa kijiji cah Nanguruwe mkaoni Mtwara ambao ni wanufaika wamradi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani – WFP wa kuwapatia fedha wanawake wanaonyonyesha na wajawazito fedha za kununulia chakula chenye lishe wakijumuika na maofisa wa Vodacom kufurahia simu walizopatiwa zikiwa zimeunganishwa na mtandao wa Vodacom kuwawezesha kupokea fedha za mradi kwa njia ya M-pesa.
Tags
Vodacom Tanzania