Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF waendelea kwa siku ya pili leo jijini Arusha


Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa PPF,Dk. Adolf Mkenda akitoa muongozo wa kikao mapema leo asubuhi ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa PPF,Dk. Adolf Mkenda (kushoto),Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),Ludovick Utouh (kulia) wakiwa katika picha ya Pamoja na Rachel Mwinchumu na Mwanae Ernest Mwinchumu ambaye anasomeshwa na PPF kupitia Fao la Elimu.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba,Nehemiah Mchechu (katikati) nae ni mmoja wa Wadau wa PPF wanaohudhulia Mkutano huo.
Previous Post Next Post