ROONEY APIGA MBILI MAN UNITED IKIUA 4-2, VAN PERSIE NA WELBECK NAO WAFUNGA

Three and easy: United forwards Wayne Rooney (left), Robin van Persie and Danny Welbeck (right) all scoredWashambuliaji wa United, Wayne Rooney (kushoto), Robin van Persie na Danny Welbeck (kulia)  wote walifungaGround force: Robin van Persie watches his effort find the net for Manchester United against StokeRobin van Persie akishuhudia mpira unavyotinga nyavuni baada ya jitihada zakeThe right end: Wayne Rooney (No 10) cancels out his own goal with a header to draw Manchester United levelWayne Rooney (Na 10) akifunga kwa kichwa bao la kusawazishaThat's more like it: The familiar feeling of scoring at the right end delighted Wayne RooneyWayne Rooney baada ya kufunga gpli la pili.
Wayne Rooney amefunga mabao mawili na kuanza mapema kusherehekea  miaka yake 27 ya kuzaliwa wakati Manchester United' ikiifunga 4-2 Stoke, hivyo kutimiza mabao 200 katika klabu hiyo. Mabao mengine yalifungwa na Danny Welbeck na Robin van Persie.

TAKWIMU ZA MECHI
Man United: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia (Nani 74), Scholes (Anderson 70), Carrick, Welbeck (Hernandez 78), Van Persie, Rooney
MABAO: Rooney dk27, dk65, Van Persie dk44, Welbeck dk46
NJANO: Scholes
BENCHI: Lindegaard, Giggs, Powell, Wootton

Stoke: Begovic, Cameron, Huth, Shawcross, Wilson, Nzonzi, Whitehead (Palacios 86), Walters (Etherington 70), Adam, Kightly (Owen 74), Crouch
MABAO: Rooney (kujifunga) dk 11, Kightly dk58
NJANO: Kightly
BENCHI: Sorensen, Jones, Upson, Wilkinson
REFA: Anthony Taylor (Cheshire)








Previous Post Next Post