Hali ya Usafiri kutoka Lindi kwenda wilayani Ruangwa inaendelea kuwa tatizo hali inayosababisha Mabasi ya Abiria kujaza abiria zaidi ya ilivyopangwa na Sumatra kama inavyoenekana pichani huku ikilazimu kondakta wa basi kukosa nasafi na kulazimika kukaa katika ngazi huku basi hilo likiendelea na safari
Baadhi ya abiria wameiomba mamlaka hiyo ya Usafirishaji kuangalia hali hiyo ambayo ni Hatari.
Tags
Lindi