OPRESHEN SAFISHA CCM YAENDELEA, WAZIRI CHIKAWA CHALII UNEC CCM-NACHINGWEA

image

Operesheni safisha CCM yaendelea. Waziri wa Sheria na Katiba Mathias Chikawe agaragazwa UNEC CCM wilaya ya Nachingwea yeye na Mwenyekiti wake CCM Wilaya. MNEC alieshinda Fadhil azimia na kukimbizwa hospital huku Mzee wa viboko, Mkuu wa wilaya Mstaafu Bw Mnali akishinda kiti cha Uenyekiti wa wilaya. Fadhil ambae amechaguliwa Mnec apata kura 749 na Chikawe kura 503 huku Mnali akipata kura 948 na Ndg Kamlo mwenyekiti alieangushwa akiambulia kura 74.

Je  BABU Mtopa atatetea  KITI CHA CCM  MKOA Tarehe 12 huko Ruangwa?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post