MSANII WA BONGO FLEVA LINEX AOMBA KURA ZENU

linex3

linex ni mmoja kati ya wasanii wa Tanzania ambae anafanya mziki wa bongo fleva. ni msanii ambaye kazi zake zimetokea kupendwa sana na wapenzi wa muziki huo, na huu ndio ujumbe wake anao uleta kwenu watanzania na kwa watu wote wanaopenda musiki wake

Pls vote for me( LINEX) to be accepted for the Unsigned tour. This is a great opportunity for Singers, Rappers& Bands. Visit http://t.co/OPT0pYvm

kumpigia kura tafadhali ingia hapa, kisha andika jina la Msanii(LINEX) NA Email yako, kisha Submit

http://www.theunsignedtour.com/vote

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post