LIVE MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI CCM MKOA WA LINDI

Nani ataibuka kidedea kati  ya MTOPA na GWAJA  Kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi,
image Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Mkoa wa Lindi leo katika ukumbi wa Yongolo wilayani Ruangwa
imageimageimage  Wajumbe wa mkutano mkuu CCM Mkoa wa Lindi wakiwa tayari kupiga kura imageMatokeo ya Uchaguzi tutawaletea mara baada ya kutangazwa na MsimamiziMkuu Mhe Membe.
Previous Post Next Post