BONGO DAR ES SALAAM INARUDI KWA KISHINDO - DUDE ANENA

clip_image002Ile show iliyokuwa maarufu kwenye kituo cha runinga cha TBC1, ‘Bongo Dar es Salaam’ inatarajia kurejea kwa kishindo kwenye screen.
Staa wa show hiyo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amezungumza kuhusu kuanza tena kwa show hiyo ambayo ipo kwenye hatua ya kurekodiwa.
“Tunarekodi michezo mingi zaidi ili tukianza kuirusha hatupumziki,” anasema Dude.
Amesema ili kuufanya ujio wa show hiyo kuwa wa kishindo zaidi ameamua kuwashirikisha mastaa wa muziki nchini wakiwemo Bahati Bukuku ,Madee,Tunda ,Baby Madaha na Chid Benz.
Dude alisema makubaliano yakifikiwa watashuti wiki hii huku kambi ikiwa Lamada Hotel.
Baby Madaha ameithibitisha kuhusu kushiriki kwenye mchezo huyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post