ASHLEY YOUNG AKAA CHANGANYIKENI MECHI YA NEWCASTLE>>FAIRPLAY

Hii si mara yake ya kwanza, Ashley Young Hupenda kukaa sana na mashabiki, kusign autography baada ya mechi, Si rahisi kuona wachezaji wakifanya hivyo lakini, yeye hufanya hivyo. RESPECT FOR THIS
Katika Mechi Hiyo MANCHESTER UNITED ILISHINDA Bao 3 Kwa Bila, kwa magoli ya Vichwa ya Johny Evans na Patrice Evra, na lile la Tom Cleverley alilofunga kwa mkwaju wa mbali uliomshinda golikipa na kutinga wavuni.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post