Obama ainuliwa juu juuu – Frorida Marekani

Raisi barack Obama wa Marekeni akiwa amekumbatiwa na kunyanyuliwa juu na mmiliki wa Duka moja la pizza, mjini frorida marekeni alietambulika kwa jina la Scott Van Duzer ikiwa ni furaha kwa kumuona Rais Obama Kutembelea Dukani hapo.

Je! kibongo bongo linawezekana? Maoni yako…….

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post