NAIBU WAZIRI AFRIKA MASHARIKI APATA AJALI JIONI HII

    imageNaibu waziri wa Afrika Mashariki,Abdullah Juma Abdalla Saddallah amepata ajali jioni hii maeneo ya Tumbi Kibaha akitokea Bungeni kuja
DAR Kufuatia ajali hiyo yeye na mkewe pamoja na watoto wake wawili wamenusurika ila dereva wake ameumia vibaya na kukimbizwa hospital yaTumbi-Kibaha
imageimageChanzo cha ajali inasemekana alikuwa analikwepa Lori alilokuwa akipishana naloimage

PICHA NA: AHMEID ABDULAZIZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post