MJUE BAHANUZI WA LINDI…..

Mchuuzi maarufu wa Korosho na Njugu mkoani Lingi akijulikana kwa jina la Bahanuzi.Kutokana na ubunifu  na nidhamu ya kazi,Bahanuzi huuza kwa wingi bidhaa zake.Msamaria mwema akimwelekeza Bahanuzi wapi kwa kupeleka mashambulizi.bb Bahanuzi wa Lindi ni kivutio tosha kila apitapo

Bahanuzi ni mshambuliaji wa mabingwa wa soka Afrika mashariki na Kati, Yanga Sc ambaye aliibuka mfungaji bora wa michuano hiyo iliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post