MTU MMOJA ANUSURIKA KIFO-AJALI DODOMA

image Mtu mmoja ambae akuweza kutambuliwa jina lake mara moja  amesurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T928 BQD kupinduka baada ya
kulikwepa basi la Shabiby jirani na Ukumbi wa Bunge,Manispaa ya Dodoma asubuhi hiiimage

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post