NIJUZE NIJUZE Author
Title: ANGALIA TWEET ZA WEMA SEPETU AKIZUNGUMZIA KUHUSU KUINGIA BBA MWAKANI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mkali katika filamu nchini Tanzania mwanada Wema Sepetu, ametweet kwamba anaitamani sana BBA, lakini Unahisi ataweza kuvumilia kukaa sik...

Mkali katika filamu nchini Tanzania mwanada Wema Sepetu, ametweet kwamba anaitamani sana BBA, lakini Unahisi ataweza kuvumilia kukaa siku 90 katika nyumba hiyo? Ahofia kuharibu uhusiano wake wa sasa. Pia amesikitika sana kwa Prezzo kushindwa kwani Wema pia alikua Team Prezzo. Tweets za Wema hapo chini.....

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2012/08/Wema-Fans-on-kwenda-BBA-Aug-5-2012.png
Wema-Sepetu-on-BBA-Aug-5-2012-4-Inshallah
Unafikiria nini kuhusu wazo la Wema kuingia Big Brother mwaka ujao? unadhani tutachukua ushindi kupitia yeye? comment yako ni muhimu

About Author

Advertisement

 
Top