NIJUZE NIJUZE Author
Title: MANCHESTER CITY YAIGARAGAZA CHELSEA NGAO YA HISANI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa wa Ligi Kuu England Manchester City leo wametwaa Ngao ya Jamii baada ya kuwafunga Mabingwa wa Ulaya, Chelsea, waliokuwa wakicheza ...
Vincent Kompany Community ShieldMabingwa wa Ligi Kuu England Manchester City leo wametwaa Ngao ya Jamii baada ya kuwafunga Mabingwa wa Ulaya, Chelsea, waliokuwa wakicheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 42, kwa bao 3-2 kwenye Mechi ya fungua dimba Msimu mpya wa Mwaka 2012/13 iliyochezwa Villa Park huko Mjini Birmingham.
Chelsea ndio walitangulia kupata bao katika Dakika ya 40 kufuatia ushirikiano mwema kati ya Ramires na Mata kisha Fernando Torres kutikisa nyavu
Lakini Dakika mbili baadae Refa Kevin Fiend alimtoa kwa Kadi Nyekundu Beki wa Chelsea Ivanovic kwa kile kilichodaiwa rafu mbaya kwa Kolarov.
Kipindi cha Pili, Man City wakaibuka na kupiga bao 3 wafungaji wakiwa Yaya Toure, kwa kigongo cha Mita 20, Tevez na Nasri.
Chelsea Manchester Samin Nasri mobbedChelsea walifufua kidogo matumaini ya kujinusuru toka kwenye kipigo pale shuti la Sturridge lilipotemwa na Kipa Pantilimona na Bertrand kutokeza na kufunga bao la pili na kuifanya gemu iwe 3-2 matokeo yaliyodumu hadi mwisho.
Jumamosi Ligi Kuu England kwa Msimu wa 2012/13 ndio inaanza rasmi.
FA COMUNITY SHIELD HISTORY
DATE
HOME
SCORE
OPPONENT
08/12
Man Utd
1 – 2
Liverpool
08/11
Arsenal
1 – 0
Liverpool
08/10
Man Utd
1 – 1
Arsenal
08/08
Arsenal
3 – 1
Man Utd
08/07
Chelsea
2 – 1
Arsenal
08/13
Chelsea
1 - 2
Liverpool
08/05
Chelsea
1 – 1
Man Utd
08/10
Man Utd
0 – 0
Portsmouth
08/09
Chelsea
2 – 2
Man Utd
08/08
Chelsea
1 – 3
Man Utd
08/07
Man City
2 – 3
Man Utd
08/12
Chelsea
2 – 3
Man City
and the Top Score is LUIS NANI for Man UTD by 2 goals.



About Author

Advertisement

 
Top