DR. ULIMBOKA KAWASILI LEO NCHINI

Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa amebeba maua, nakuzungukwa na amadaktari wenzake na wananchi wa kawaida, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.

HABARI KWA HISANI YA mwanaharakatimzalendo blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post