BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi limepokea na kubariki mapendekezo ya Kamati ya Nidhamu ya Watumishi ya kuwafukuza kazi watumishi wanne wa halmashauri hiyo wanaokabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwezo za Mhasibu Mwandamizi wa Halmashauri hiyo kuisababishia halmashauri hiyo hasara NA kuikosesha Mapato
Uamuzi huo uliobarikiwa na Baraza la Madiwani umekuja baada ya kamati za kinidhamu pamoja na Tume mbalimbali zilizoundwa kubaini na kutoa taarifa zake kuhusiana na Makosa ya Watumishi hao
Akisoma Taarifa Ya Maamuzi ya Baraza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Hijob Shenkalwah iliwataja watumishi hao waliofukuzwa kutokana sababu mbalimbali zikiwemo ukiukwaji wa kanuni za utumishi wa umma
walio fukuzwa ni Mhasibu Mwandamizi ni JOSEPH SONGORO,,PETER KAISI,,,OTHMAN MROPE NA HAMIS LUNDA
PETER KAISI kafukuzwa kwa kosa la utoro kazini
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.