KIGOMA ALL STARS – KUFANYA BONGE LA SHOO KUCHANGIA WATOTO YATIMA

Ulijua kuwa wasanii wote pichani wametoka Mkoa mmoja? Kama ulikuwa hufahamu basi chukua hiyo, wameungana kwa pamoja kama Kigoma All Stars na kutunga wimbo unaouitwa Leka Dutigite na wanatarajiwa kupiga show ya pamoja wiki ijayo ili kuchangia yatima wa mkoa huo. Tunawapongeza sana Banana Zoro, Chege, Mwasiti, Peter Msechu, Diamond, Abdul Kiba, Baba Levo, Recho, Linex, Ommy Dimpoz na Makomando.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post