BIRTHDAY YA KHADIJA MKADAMU ILIVYOFANA – SANTORINI BEACH

imageMTOTO KHADIJA MKADAMU aka AJUZA WA MIKUMBI AKIKATA KEKI KATIKA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 34 ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SANTORINBEACH BAR NDANI YA MANISPAA YA LINDIimage KEKI YA MIAKA 34 HA KHADIJA MKADAMUimage ....MAMBO HAYO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,image ...MTOTO WA KHADIJA MKADAMU NA MTOTO WA MWANAHAMIS
MKADAMU WAKICHEZA KIDUKU KATIKA SHEREHE YA KUMPONGEZA MAMA YAO
KUTIMIZA MIAKA 34image WADAU NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA ,MAMBO FULANI NDANI YA SANTORIN BEACH
TAREHE 29 JUNE NI SIKU AMBAYO KHADIJA MKADAMU aka AJUZA Akifurahia
kutimiza miaka 34 toka azaliwe

PICHA NA ABDULAZIZ VIDEO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post