



Watanzania Inabidi tutafakari nini Hatima ya Matukio haya…………….
Inasadikika kuwa Maandamano hayo yalifanyika bila kibali na dhamira kubwa ilikuwa ni kushinikiza polisi kumwachia kiongozi wao ambae alikamatwa kwa kosa la kufanya mhadhara bila ya kibali.Askari ilibidi watumie silaha na Mabomu ya Machozi kuwasambaza waandamaji hao.
Tags
ZANZIBAR