Mashabiki waliojitokeza kuangalia Show ya Wakali wa KTMA 2012.
Ali Kiba akimsindikiza Ommy Dimpoz katika wimbo aliomsaidia wa Nai Nai na hatimaye kumpa tuzo mbili.
Mwimbaji wa Nyimbo za Bongo Fleva Ali Kiba akishambulia jukwaa na vijana wake
Mkali wa miondoko ya kipwani kutoka Zanzibar AT akifanya vitu vyake sambamba na wanenguaji wake wakati wa tamasha la Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro “Kili Music Award Winners Tour” uwanja wa Umoja mjini Mtwara.
Mkongwe wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music Award 2012
Tags
BURUDANI