Extravaganza Yafana - Kampala

Wanamitindo mbalimbali katika picha tofauti wakifanya vitu vyao jukwaani katika Afrikalos katika onyesho la mwanamtindo nyota barani, Mustafa Hassanali la East African Fashion Extravaganza lililofanyika jana mjini Kampala, Uganda.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post