Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Lindi wameachana na Ushabiki wa Siasa
na michezo na kugeukia kushabikia baadhi ya mabasi yanayopita mjini
Lindi kutoka na kwenda Mtwara ....Kwa hali hii Maendeleo
yatapatikana?
MPAMBANO NI KATI YA HAMANJU NA BUTI LA
ZUNGU....................
Tags
Lindi