AKAUNTI YA KIISLAM YAFUNGULIWA NBC NA MZEE RUKSA

image

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.

image

Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post