Villas-Boas Chelsea New Boss

image

Hatimaye amesaini kuwa kocha mpya wa chelsea kwa msimu ujao. kocha Villas-Boas alikuwa akiifundisha Fc Port ya Ureno kabla ya kusaini mkataba na Chelsea. Swali ni kwamba ataweza Kudumu katiak kazi hiyo zaidi ya misimu miwili?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post