Kocha wa Real Madrid Hose Mourinho amethibitisha kuwa anataenda nchini England kufundisha klabu moja wapo baada ya kuondoka Hispania anakoifundisha timu hiyo..
Mourinho maarufu kama Special One amesema England ni moja kati sehemu bora zaidi kwake kwani huwa anafurahia maisha anayoishi na waingereza kuliko sehemu yoyote duniani.
Kocha huyo wa zamani wa Chelsea anahusishwa zaidi na kujiunga na Matajiri wa jiji la Greater Manchester timu ya Manchester City..
Kocha huyo wa zamani wa Chelsea anahusishwa zaidi na kujiunga na Matajiri wa jiji la Greater Manchester timu ya Manchester City..
Tags
Special One