TFF YAIAGIZA VILA SQUARD KUFANYA UCHAGUZI

tff

Shirikisho la Kandanda hapa nchini TFF imeitaka kamati ya Uchaguzi ya Villa Squad kufanya Uchaguzi wa klabu hiyo haraka iwezekanavyo kufuatia kukharishwa kwa Uchaguzi wa klabu hiyo jumapili iliyopita.

Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah amesema Villa Sports Club ni mwanachama wa TFF hivyo kufuatia ibara ya 1 kifungu kidogo cha sita ambacho kinasema mwanachama wa TFF ni lazima aheshimu Katiba,maamuzi na maagizo yote ya TFF na kuhakikisha kuwa zinafuatwa,hivyo Villa kama mwanachama lazima atimize kwa vitendo ibara hiyo kwa kufanya Uchaguzi huo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post