Jengo jipya la CRDB Benki

Photo0182

Jengo jipya la CRDB benki limemalizika kujengwa na tayari wateja wameanza kupata huduma kupitia jengo hilo jipya na la kisasa mjini Lindi kama lionekanavyo kwenye picha Hapo juu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post