Ramadhani Masanja Akikamua kwa kwenda mbele ndani ya oceanic Hotel na Bendi yake mpya ya Extra Bongo Next Level.
Kama ilivyo ada akina dada wakiwa katika jukumo lao la Kazi duh wali kamua kisawasawa.
Rapa wa extrabongo akiwapagawisha Mashabiki waliofurika Katika ukumbi huo. Palikuwa Hapatoshi.
Tags
Shoo Mbali mbali TZ