WALIOITWA KWENYE USAILI BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

WBENKI KUU YA TANZANIA (BOT) Machi 14, 2025 imetoa majina katika tovuti yake waliopita katika usaili wa maandishi, huku ikiwaita katika usaili wa mahojiano na vitendo kwa baadhi ya kada.

“Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili na wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi,” ilieleza taarifa hiyo.

Aidha, tangazo hilo lilieleza kuwa usaili huo utafanyika ofisi za Bot, jijini Dar es Salaam Machi 21, 24 na 25 kulingana na kada husika ilivyopangiwa. Bonyeza hapa chini kusoma zaidi.

CALL FOR INTERVIEW, MACHI 2025


Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post