RAIS MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA MABORESHO YA MRADI WA GATI MBILI BANDARI YA TANGA

 Muonekano wa Bandari ya Tanga pamoja na maboresho yaliyofanyika katika Gati mpya mbili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa kuhusu maboresho ya gati mbili mpya za Bandari ya Tanga wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mkeli Mbossa kuhusu maboresho ya gati mbili mpya za Bandari ya Tanga wakati
akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasambamba na Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa katika moja ya gati inayofanyiwa maboresho Bandari ya Tanga.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliojitokeza katika ukaguzi wa maboresho ya gati mbili mpya za Bandari ya Tanga wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post