Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda hicho mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone mara baada ya hafla ya ufunguzi ya Kiwanda hicho mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.


Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni
Limestone cha jijini Tanga.