Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwanafa amebainisha kuwa klabu ya Yanga ni moja ya klabu ambayo imetoa mchango wake mkubwa katika kukuza soko la Soka la Tanzania.
Mwinjuma ametoa kauli hiyo akijibu swali la mwandishi wa
habari jana baada ya kumalizika kwa mchezo wa mkondo wa pili ligi ya mabingwa Afrika, Yanga dhidi ya Al Merrikh uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kufanikiwa
kutinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushindwa kwa
miaka 25.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.