UJUMBE WA MO DEWJI KABLA YA MCHEZO WA LEO


Klabu ya Simba leo hii ikiwa na kibarua kizito katika ardhi ya Morocco ndani ya Uwanja wa Mohammed wa 5 majira ya saa 4:00 Usiku dhidi ya Mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika Wydad Athletic

Rais wa heshima wa Klabu hiyo Mohammed Dewji 'MO" ametumia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii kutoa neno kuelekea mchezo huo.

MO ameandika: “Riadha…ni moyo na akili.” — Eliud Kipchoge.. Kila la kheri leo, Simba! Mmejifua kama mashujaa. Ninawaamini! 
 
 
*********************************************************************

 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post