
Katika majina hayo yaliyotolewa na Taarifa hiyo ambayo haikuonesha nani mtoaji wa taarifa hiyo bali ikionyesha Anuani tu ya Jeshi la Polisi nakuleta walakini wa taarifa hiyo ni Jina la Msanii Maarufu na Mwenye ushawishi mkubwa kwa sasa nchini Tanzania Diamond Platnumz ambapo kwenye taarifa hiyo ameandikwa kwa jina la Nasibu Abdul.

Taarifa iliyo Sambaa Mtandaoni
Meneja wa Msanii huyo Babu Tale ameona sio sawa kukaa kimya na ameweza kujibu kwa ufipi sana na kusema kuwa "No Information, No right to speak!!! Marry you - link on my bio". Amepost kupitia mtandao wa Picha wa Instagram.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA WASANII