TUNDU LISSU KUFIKISHWA MAHAKAMANI HAPO KESHO KWA TUHUMA HIZI.

Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, atafikishwa mahakani hapo kesho.
Tundu Lissu
Tundu Lissu alikamatwa na Polisi jana katika Viunga vya Bunge Dodoma na kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam Usiku usiku.

Mbunge Lissu amehojiwa kufuatia 'Press Conference' aliyoifanya Januari juu ya "Baa la njaa" akidaiwa kutumia maneno ya kichochezi. 

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post