SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA LACHUKUA SURA MPYA BUNGENI, MBUNGE MSUKUMA ATEMA CHECHE

Ndg Msukuma
Katika kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kilichoketi leo Jioni sakata la Madawa ya kulevya linaloendelea jijini Dar limeibuka tena na kwa mara hii mbunge wa Geita Ndg Msukuma alipata nafasi ya kuchangia na kueleza mambo kadha wa kadha.

Nisikuchoshe Bofya Play katika Video hapa Chini kumsikiliza alichokisema juu ya Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post