DKT. KIGWANGALLA AWATAKA JAMES DELICIOUS, KAOGE MVUTO NA DANI MTOTO WA MAMA KUJISALIMISHA CENTRAL POLISI

Dkt. Hamisi KigwangallaNaibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

Baada ya Agizo hilo kulitoa bungeni, kupitia akaunti yake ya Tweeter Mh Kigwangala aliweza ku tweet updated ya agizo hilo lakini mara hii akiongeza idadi ya watu wanaotakiwa kufika Kituo cha Police cha Kati jijini Dar es salaam kwa ajili ya mahojiano kabla hawajatafutwa.
 ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
 ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post