U- HEARD: GIGY MONEY AMPIGA CHINI MO J, SASA AJIACHIA NA JOTI.

U heard ya Leo, Soudy Brown imeileta hii habari inayowahusu Watangazaji wa ChoiceFM, Gigy Money na Mo J ambapo inadaiwa wameachana baada ya Mo J kushtukia.Gigy Money na Joti
Inasemekana Mo J ameshtukia mawasiliano ambayo mwenzake alikuwa akiyafanya na mtu mwingine ambayo ikapelekea ugomvi hata mmoja kubeba nguo zake, sasa leo Soudy Brown amewaweka mti kati wote wawili.


"Mbali na mimi kuwa naye kwenye mahusiano yeye ana mambo yake anayafanya na alikuwa anayafanya labda amejisikia kumpost Joti au ni mshikaji wake" Amesema Mo J.

"Nimeamua tu kumpunguza Instagram……..kwani Joti hafai kupendwa na Gigy Money na ninakuambia pale sichomoki na nimefika dada yako, Mo J tushamwagana kipindi kitaenda tu" Amesema Gigy Money.

MZIGO WOTE HUU HAPA BOFYA VIDEO HII HAPA.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post