
Nuh Mziwanda aliyasema hayo wakati wa Mahojiano katika kipindi cha planet Bongo kinachoongozwa na Abdallah Ambua / Dulla kinachorushwa na East Afrika Radio.
Mziwanda pia ameeleza ujio wake kwa mwaka 2017 kwa kuachia ngoma aliyomshirikisha Mama la Mipasho Khadija Kopa.
BOFYA PLAY KUMSIKILIZA
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA WASANII