Unknown Unknown Author
Title: UWANJA WA TAIFA WAFUNGULIWA RASMI, MCHEZO WA SIMBA NA AZAM KUCHEZWA TAIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye wametangaza kuufungua te...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye wametangaza kuufungua tena uwanja wa taifa baada ya kuufunga mwezi Oktoba mwaka jana kwa shughuli zozote.Uwanja wa Taifa
Uwanja huo ulifungwa kutokana na uharibifu uliotokea wakati wa vurugu zilizotokea katika uwanja huo wakati wa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 1 mwaka jana. 

Uwanja huo utaanza kutumika katika mechi ya Simba na Azam itakayochezwa Jumamosi hii.

Soma taarifa hiyo zaidi hapa chini.
Barua

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top