Unknown Unknown Author
Title: VIDEO:: NAY WA MITEGO AMWAGIA SIFA ALIKIBA NA KUMKACHA SWAHIBA WAKE DIAMOND PLATNUMZ
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Haina Ubishi kuwa Nay wa Mitego ni mmoja ya wasanii ambao ni marafiki wa karibu sana wa msanii Diamond Platnumz. Na hakuna asie jua ...
Nay wa Mitego na Alikiba
Haina Ubishi kuwa Nay wa Mitego ni mmoja ya wasanii ambao ni marafiki wa karibu sana wa msanii Diamond Platnumz.

Na hakuna asie jua kuwa Diamond Platnumz  na Alikiba wana Bifu kubwa kati yao, Sasa chukua hii exclusive kutoka kwa Nay wa Mitego.

Diamond na Alikiba
Nay wa Mitego amepaza sauti kupitia Lindiyetu.com na kudai kuwa haoni msanii wa kumfananisha na Alikiba katika suala zima la kuimba.

“Wasanii ni wengi, me mmoja kati ya wasanii ambao nawaelewa sana kwenye suala la uimbaji ni pamoja na Alikiba, Alikiba ni muimbaji mzuri sana, nafikiriaga mtu wa kumuweka karibu nae simpatagi.”
Alisema Nay wa Mitego.

Kuirefu zaidi play hii video hapa chini kumsikiliza Nay wa Mitego akimwaga sifa hizo kwa mkali King Kiba.



++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top